Hebrews 7:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Babu Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka nyara vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi alivyokuwa mkuu: Hata Ibrahimu, baba yetu wa zamani, alimpa sehemu ya kumi ya nyara zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, angalieni jinsi mtu huyo alivyokuwa mkuu, ambaye Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unaweza kuona kuwa Melkizedeki alikuwa mkuu sana. Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa yeye sehemu ya kumi ya kila alichoshinda kule vitani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Baba Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Babu Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka nyara vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama jinsi alivyokuwa mkuu: Hata Abrahamu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi alivyokuwa mkuu: Hata Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, angalieni jinsi mtu huyo alivyokuwa mkuu, ambaye Abrahamu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Babu Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka nyara vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tazameni, huyo alivyokuwa, baba yetu mkuu Aburahamu akimpa fungu la kumi la mateka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, angalieni jinsi mtu huyo alivyokuwa mkuu, ambaye Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi muangalie namna mutu huyu alivyokuwa mukubwa, hata babu yetu mukubwa Abrahamu alimupa fungu moja la kumi la vitu vyote alivyoteka katika vita.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, angalieni jinsi mtu huyo alivyokuwa mkuu, ambae Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya maleka yaliyo mema.