Hebrews 7:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Twaweza, basi, kusema kwamba Abrahamu alipotoa sehemu moja ya kumi, Lawi (ambaye wazawa wake hupokea sehemu moja ya kumi) alitoa sehemu moja ya kumi pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu anaweza hata kusema kwamba Lawi, ambaye hupokea sehemu ya kumi, alitoa hiyo sehemu ya kumi kupitia kwa Ibrahimu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Ibrahimu, hata Lawi apokeaye sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa wale wa kutoka ukoo wa Lawi ndiyo wanaopata sehemu ya kumi kutoka kwa watu. Lakini tunaweza kusema kuwa Ibrahimu alipompa Melkizedeki sehemu ya kumi, kisha Lawi naye akatoa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Twaweza, basi, kusema kwamba Abrahamu alipotoa sehemu moja ya kumi, Lawi (ambaye watoto wake hupokea sehemu moja ya kumi) alitoa sehemu moja ya kumi pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Twaweza, basi, kusema kwamba Abrahamu alipotoa sehemu moja ya kumi, Lawi (ambaye wazawa wake hupokea sehemu moja ya kumi) alitoa sehemu moja ya kumi pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu anaweza hata kusema kwamba Lawi, ambaye hupokea sehemu ya kumi, alitoa hiyo sehemu ya kumi kupitia kwa Abrahamu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu anaweza hata kusema kwamba Lawi, ambaye hupokea sehemu ya kumi, alitoa hiyo sehemu ya kumi kupitia kwa Ibrahimu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Abrahamu, hata Lawi apokeaye sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Twaweza, basi, kusema kwamba Abrahamu alipotoa sehemu moja ya kumi, Lawi (ambaye wazawa wake hupokea sehemu moja ya kumi) alitoa sehemu moja ya kumi pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena, ikiwezekana kusema hivyo, katika Aburahamu hata Lawi aliye mwenye kutoza fungu la kumi alitozwa naye fungu la kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Ibrahimu, hata Lawi apokeaye sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi tunaweza kusema hivi: wakati Abrahamu alipotoa fungu la kumi la mali yake, Lawi vilevile alilitoa kupitia yeye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Ibrahimu, hatta Lawi apokeae sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi;