Hebrews 8:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hutoa huduma ya kuhani mkuu mahali patakatifu katika maskani, yaani ndani ya ile hema ya kweli iliyojengwa na Bwana, siyo na binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yeye anayehudumu katika patakatifu, hema la kweli lililowekwa na Mwenyezi Mungu, wala si na mwanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mhudumu wa patakatifu, na wa ile hema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwanadamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuhani wetu mkuu anahudumia katika Patakatifu pa Patakatifu. Anahudumia katika mahali pa hakika kwa ibada palipotengenezwa na Bwana, siyo na mtu yeyote duniani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye hutoa huduma ya Kuhani Mkuu katika Mahali Patakatifu sana, yaani ndani ya ile hema ya kweli iliyojengwa na Bwana, siyo na binadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hutoa huduma ya kuhani mkuu mahali patakatifu katika maskani, yaani ndani ya ile hema ya kweli iliyojengwa na Bwana, siyo na binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye ahudumuye katika patakatifu, pa hema la kweli lililowekwa na Bwana, wala si mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yeye ahudumuye katika patakatifu, hema la kweli lililowekwa na Mwenyezi Mungu, wala si na mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mhudumu wa patakatifu, na wa ile hema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hutoa huduma ya kuhani mkuu mahali patakatifu katika maskani, yaani ndani ya ile hema ya kweli iliyojengwa na Bwana, siyo na binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye ni mtunzaji wa Patakatifu na wa Hema lile la kweli, Bwana alilolisimamisha, siye mtu aliyelisimamisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mhudumu wa patakatifu, na wa ile hema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anafanya kazi ya Kuhani Mukubwa katika Pahali Patakatifu Sana, maana yake katika hema ya kweli iliyosimikwa na Bwana, wala si mutu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mkhudumu wa patakatifu, na wa khema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwana Adamu.