Hebrews 8:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama yeye angekuwa wa hapa duniani, asingekuwa kamwe kuhani, kwani wako makuhani wengine wanaotoa sadaka kufuatana na sheria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama angekuwa duniani, hangekuwa kuhani, kwa sababu tayari wapo watu watoao sadaka kama ilivyoelekezwa na sheria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama angekuwa juu ya nchi, asingekuwa kuhani; maana wako watoao sadaka kama iagizavyo sheria;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama kuhani wetu mkuu angekuwa anaishi duniani, asingekuwa kuhani. Nasema hivi kwa sababu tayari hapa wapo makuhani ambao wanafuata sheria kwa kutoa sadaka kwa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama yeye angekuwa wa hapa duninani, asingekuwa kamwe kuhani, kwani wako makuhani wengine wanaotoa sadaka kufuatana na Sheria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama yeye angekuwa wa hapa duniani, asingekuwa kamwe kuhani, kwani wako makuhani wengine wanaotoa sadaka kufuatana na sheria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama angelikuwa duniani, hangelikuwa kuhani, kwa sababu tayari wapo watu watoao sadaka kama ilivyoelekezwa na sheria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama angekuwa duniani, hangekuwa kuhani, kwa sababu tayari wapo watu watoao sadaka kama ilivyoelekezwa na sheria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama angekuwa juu ya nchi, asingekuwa kuhani; maana wako watoao sadaka kama iagizavyo sheria;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama yeye angekuwa wa hapa duniani, asingekuwa kamwe kuhani, kwani wako makuhani wengine wanaotoa sadaka kufuatana na sheria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama angekuwa ulimwenguni, asingekuwa mtambikaji, maana wako wanaompelekea Mungu vipaji, kama walivyoagizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama angekuwa juu ya nchi, asingekuwa kuhani; maana wako watoao sadaka kama iagizavyo sheria;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama Kristo angekuwa katika dunia, asingekuwa kuhani hata kidogo, kwa sababu kuko makuhani wanaotoa sadaka kufuatana na maagizo ya Sheria.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama angekuwa juu ya inchi, asingekuwa kuliani; maana wapo watoapo sadaka kama iagizavyo sharia;