Hebrews 8:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kama hapakuwa na kasoro katika lile agano la kwanza, pasingekuwa na haja ya kutafuta nafasi kwa ajili ya jingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama kusingekuwa na makosa katika agano la kwanza, kisha kusingekuwa na haja ya agano la pili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kama hapakuwa na kasoro katika lile Agano la kwanza, pasingekuwa na haja ya kutafuta nafasi kwa ajili ya jingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kama hapakuwa na kasoro katika lile agano la kwanza, pasingekuwa na haja ya kutafuta nafasi kwa ajili ya jingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani lile la kwanza kama lingalikuwa pasipo masazo, pasingalitafutwa mahali pa kuwekea la pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama lile agano la kwanza lingekuwa kamilifu, haingekuwa lazima likombolewe na la pili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)