Hebrews 9:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Agano la kwanza lilikuwa na taratibu zake za ibada na maskani takatifu ya duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi agano lile la kwanza lilikuwa na kanuni zake za kuabudu na pia patakatifu pake pa kidunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hata agano la kwanza lilikuwa na kawaida za ibada, na patakatifu pake, pa kidunia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Patano la kwanza lilikuwa na kanuni kwa ajili ya kuabudu na mahali pa kuabudia hapa duniani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Agano la kwanza lilikuwa na taratibu zake za ibada na pia mahali patakatifu pa ibada palipojengwa na watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Agano la kwanza lilikuwa na taratibu zake za ibada na maskani takatifu ya duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Agano lile la kwanza lilikuwa na kanuni zake za kuabudu na pia patakatifu pake pa kidunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi agano lile la kwanza lilikuwa na kanuni zake za kuabudu na pia patakatifu pake pa kidunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hata agano la kwanza lilikuwa na kawaida za ibada, na patakatifu pake, pa kidunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Agano la kwanza lilikuwa na taratibu zake za ibada na maskani takatifu ya duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo Agano la kwanza lilikuwa na maongozi ya kumtambikia Mungu, tena lilikuwa na Patakatifu palipopasa ulimwenguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hata agano la kwanza lilikuwa na kawaida za ibada, na patakatifu pake, pa kidunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika agano la kwanza wanasema juu ya kanuni za ibada na juu ya nafasi ya kuabudia iliyojengwa na watu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
BASSI hatta agano la kwanza lilikuwa na kawaida za ibada, na patakatifu pake, pa kidumia.