Hebrews 9:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kawaida wosia hutambuliwa tu kama kifo cha yule aliyeufanya huo wosia kimethibitishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa habari ya wosia, ni muhimu kuthibitisha kifo cha yule aliyeutoa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana agano la urithi lilipo, lazima iwepo mauti yake aliyelifanya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu anapofariki na akaacha usia, ni lazima uwepo uthibitisho kwamba yule aliyeandika usia amefariki.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa kawaida wosia hutambuliwa tu kama kifo cha yule aliyeufanya huo wosia kimethibitishwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kawaida wosia hutambuliwa tu kama kifo cha yule aliyeufanya huo wosia kimethibitishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa habari ya wosia, ni muhimu kuthibitisha kifo cha yule aliyeutoa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa habari ya wosia, ni muhimu kuthibitisha kifo cha yule aliyeutoa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana agano la urithi lilipo, lazima iwepo mauti yake aliyelifanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kawaida wosia hutambuliwa tu kama kifo cha yule aliyeufanya huo wosia kimethibitishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hapo palipo na agano, sharti kwanza mwenye kuliweka afe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana agano la urithi lilipo, lazima iwepo mauti yake aliyelifanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mambo yenye kuelekea agano la urizi, ni lazima kuhakikisha kwamba yule aliyelifanya amekwisha kufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)