Hebrews 9:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu wosia huwa na nguvu tu wakati mtu ameshakufa; kamwe hauwezi kutumika wakati yule aliyeuandika bado yuko hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana agano la urithi lina nguvu palipotukia kufa kwa mtu; kwa kuwa halina nguvu kabisa, akiwa yu hai yeye aliyelifanya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usia haumaanishi chochote wakati aliyeuandika bado yuko hai. Unaweza kutumika mara tu baada ya kifo cha mtu huyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu wosia huwa na nguvu tu wakati mtu akishakufa, kamwe hauwezi kutumika wakati yule aliyeuandika akiwa bado yuko hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu wosia huwa na nguvu tu wakati mtu ameshakufa; kamwe hauwezi kutumika wakati yule aliyeuandika bado yuko hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana agano la urithi lina nguvu palipotukia kufa kwa mtu; kwa kuwa halina nguvu kabisa, akiwa yu hai yeye aliyelifanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani agano hutimizwa na kufa, lakini halina maana kabisa, mwenye kuliweka angali yu hai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana agano la urithi lina nguvu palipotukia kufa kwa mtu; kwa kuwa halina nguvu kabisa, akiwa yu hai yeye aliyelifanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Agano kama hili linatimizwa nyuma ya kifo cha yule aliyelifanya, lakini si wakati angali muzima.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana agano lina nguvu palipotukia kufa kwa mtu; kwa kuwa halina nguvu kabisa, maadam yu hayi yeye aliyelifanya.