Hebrews 9:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiyo maana hata lile agano la kwanza halikuwekwa bila damu kumwagwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo sababu hata lile agano la kwanza halikuweza kutekelezwa pasipo damu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo hata lile la kwanza halikuanzwa pasipo damu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo sababu ili kuthibitisha kifo damu ilihitajika ili kuanza agano la kwanza baina ya Mungu na watu wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndiyo maana hata lile agano la kwanza halikuwekwa bila damu kumwagwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiyo maana hata lile agano la kwanza halikuwekwa bila damu kumwagwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo sababu hata lile Agano la kwanza halikuweza kutekelezwa pasipo damu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo sababu hata lile agano la kwanza halikuweza kutekelezwa pasipo damu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo hata lile la kwanza halikuanzwa pasipo damu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiyo maana hata lile agano la kwanza halikuwekwa bila damu kumwagwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo hata lile la kwanza halikueuliwa pasipo damu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo hata lile la kwanza halikuanzwa pasipo damu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hii, hata lile agano la kwanza halikuwekwa pasipo kumwangika kwa damu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa hiyo hatta lile la kwanza halikuanzwa pasipo damu.