Hebrews 9:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alisema: “Hii ni damu inayothibitisha agano mliloamriwa na Mungu mlitii.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alisema, “Hii ndiyo damu ya agano, ambalo Mungu amewaamuru kulitii.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akisema, Hii ni damu ya agano mliloamriwa na Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akasema, “Hii ni damu inayoweka agano liwe zuri agano ambalo Mungu aliwaagiza mlifuate.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mose alisema: “Hii ni damu inayothibitisha agano mliloamriwa na Mungu mlitii.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alisema: “Hii ni damu inayothibitisha agano mliloamriwa na Mungu mlitii.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akisema, “Hii ndiyo damu ya Agano, ambalo Mungu amewaamuru kulitii.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alisema, “Hii ndiyo damu ya agano, ambalo Mwenyezi Mungu amewaamuru kulitii.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akisema, Hii ni damu ya agano mliloamriwa na Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alisema: “Hii ni damu inayothibitisha agano mliloamriwa na Mungu mlitii.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akisema: Hizi ni damu za Agano, Mungu alilowaagizia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akisema, Hii ni damu ya agano mliloamriwa na Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akasema: “Hii ndiyo damu inayohakikisha agano lile Mungu analowaamuru kutii.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akisema, Hii ni damu ya agano mliloamriwa na Mungu.