Hebrews 9:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye ile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ile hema nayo na vyombo vyote vya ibada alivinyunyizia damu vivyo hivyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa jinsi hiyo hiyo, Musa alinyunyiza damu katika Hema Takatifu. Aliinyunyiza damu juu ya kila kitu kilichotumika katika ibada.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye lile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye ile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ile hema nayo na vyombo vyote vya ibada alivinyunyizia damu vivyo hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata hema na vyombo vyote vya kutambikia akavinyunyizia damu vilevile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ile hema nayo na vyombo vyote vya ibada alivinyunyizia damu vivyo hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akanyunyiza vilevile damu juu ya Hema na juu ya vyombo vyote vya ibada.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ile khema na vyombo vyote vya ibada alivinyunyizia damu vivi hivi.