Hebrews 9:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyuma ya pazia la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa Mahali Patakatifu sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyuma ya pazia la pili, palikuwa na sehemu iliyoitwa Patakatifu pa Patakatifu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nyuma ya pazia la pili, ile hema iitwayo Patakatifu pa patakatifu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nyuma ya pazia la pili kilikuwepo chumba kilichoitwa Patakatifu pa Patakatifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nyuma ya pazia la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa Mahali Patakatifu Kupita Pote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyuma ya pazia la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa Mahali Patakatifu sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyuma ya pazia la pili, palikuwa na sehemu iliyoitwa Patakatifu pa Patakatifu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyuma ya pazia la pili, palikuwa na sehemu iliyoitwa Patakatifu pa Patakatifu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nyuma ya pazia la pili, ile hema iitwayo Patakatifu pa patakatifu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyuma ya pazia la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa Mahali Patakatifu sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mle ndani mbele ya pazia lililoko katikati mlikuwamo hema lililoitwa Patakatifu Penyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nyuma ya pazia la pili, ile hema iitwayo Patakatifu pa patakatifu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na nyuma ya pazia lililotenga kile chumba cha kwanza, kulikuwa chumba kingine kilichoitwa Pahali Patakatifu Sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na nyuma ya pazia la pili, ile khema iitwayo Patakatifu pa patakatifu,