Hosea 1:10 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini idadi ya Waisraeli itakuwa kubwa kama mchanga wa pwani ambao haupimiki wala hauhesabiki. Pale ambapo Mungu aliwaambia, “Nyinyi si watu wangu,” sasa atawaambia, “Nyinyi ni watoto wa Mungu aliye hai.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hata hivyo Waisraeli watakuwa kama mchanga kando ya bahari, ambao hauwezi kupimika wala kuhesabiwa. Mahali pale walipoambiwa, ‘Ninyi si watu wangu,’ wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai’.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa ya kwamba hesabu ya wana wa Israeli itafanana na mchanga wa bahari, usioweza kupimwa wala kuhesabiwa; tena itakuwa, badala ya kuambiwa, Ninyi si watu wangu, wataambiwa, Ninyi ndio wana wa Mungu aliye hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini idadi ya Waisraeli itakuwa kubwa kama mchanga wa pwani ambao haupimiki wala hauhesabiki. Pale ambapo Mungu aliwaambia, “Nyinyi si watu wangu,” sasa atawaambia, “Nyinyi ni watoto wa Mungu aliye hai.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hata hivyo Waisraeli watakuwa kama mchanga kando ya bahari, ambao hauwezi kupimika wala kuhesabiwa. Mahali pale walipoambiwa, ‘Ninyi si watu wangu,’ wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hata hivyo Waisraeli watakuwa kama mchanga kando ya bahari, ambao hauwezi kupimika wala kuhesabiwa. Mahali pale walipoambiwa, ‘Ninyi si watu wangu,’ wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa ya kwamba hesabu ya wana wa Israeli itafanana na mchanga wa bahari, usioweza kupimwa wala kuhesabiwa; tena itakuwa, badala ya kuambiwa, Ninyi si watu wangu, wataambiwa, Ninyi ndio wana wa Mungu aliye hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini idadi ya Waisraeli itakuwa kubwa kama mchanga wa pwani ambao haupimiki wala hauhesabiki. Pale ambapo Mungu aliwaambia, “Nyinyi si watu wangu,” sasa atawaambia, “Nyinyi ni watoto wa Mungu aliye hai.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tena hesabu ya wana wa Isiraeli itakuwa kama mchanga wa ufukoni usiopimika wala usiohesabika; itakuwa hapo, hao wanaoambiwa sasa: Ninyi ham ukoo wangu waambiwe: M wanawe Mungu aliye Mwenye uzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)