Hosea 1:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Hosea akaenda, akamwoa Gomeri, binti Diblaimu. Gomeri akapata mimba, akamzalia Hosea mtoto wa kiume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo alimwoa Gomeri binti Diblaimu, naye akachukua mimba na kumzalia Hosea mwana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akaenda akamwoa Gomeri, binti Diblaimu; naye akachukua mimba, akamzalia mtoto mwanamume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Hosea akaenda, akamwoa Gomeri, binti Diblaimu. Gomeri akapata mimba, akamzalia Hosea mtoto wa kiume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo alimwoa Gomeri binti Diblaimu, naye akachukua mimba na kumzalia Hosea mwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo alimwoa Gomeri binti Diblaimu, naye akachukua mimba na kumzalia Hosea mwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akaenda akamwoa Gomeri, binti Diblaimu; naye akachukua mimba, akamzalia mtoto wa kiume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Hosea akaenda, akamwoa Gomeri, binti Diblaimu. Gomeri akapata mimba, akamzalia Hosea mtoto wa kiume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaenda, akamchukua Gomeri, binti Dibulemu; naye akapata mimba, akamzalia mwana wa kiume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akaenda akamwoa Gomeri, binti Diblaimu; naye akachukua mimba, akamzalia mtoto mwanamume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Hosea akaenda, akamwoa Gomeri, binti wa Dibulaimu. Gomeri akapata mimba, akamuzalia Hosea mutoto mwanaume.