Hosea 10:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pandeni wema kwa faida yenu, nanyi mtavuna upendo; limeni mashamba yaliyoachwa, maana wakati wa kunitafuta mimi Bwana umefika nami nitawanyeshea baraka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jipandieni wenyewe haki, vuneni matunda ya upendo usio na kikomo, vunjeni ardhi yenu isiyolimwa; kwa kuwa ni wakati wa kumtafuta Mwenyezi Mungu, hadi atakapokuja na kuwanyeshea juu yenu haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jipandieni katika haki, vuneni kwa fadhili; uchimbueni udongo wa mashamba yenu, kwa maana wakati umewadia wa kumtafuta Bwana, hata atakapokuja na kuwanyeshea haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pandeni wema kwa faida yenu, nanyi mtavuna upendo; limeni mashamba yaliyoachwa, maana wakati wa kunitafuta mimi Bwana umefika nami nitawanyeshea baraka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jipandieni wenyewe haki, vuneni matunda ya upendo usio na kikomo, vunjeni ardhi yenu isiyolimwa; kwa kuwa ni wakati wa kumtafuta BWANA, mpaka atakapokuja na kuwanyeshea juu yenu haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jipandieni wenyewe haki, vuneni matunda ya upendo usio na kikomo, vunjeni ardhi yenu isiyolimwa; kwa kuwa ni wakati wa kumtafuta bwana, mpaka atakapokuja na kuwanyeshea juu yenu haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jipandieni katika haki, vuneni kwa fadhili; uchimbueni udongo wa mashamba yenu, kwa maana wakati umewadia wa kumtafuta BWANA, hata atakapokuja na kuwanyeshea haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pandeni wema kwa faida yenu, nanyi mtavuna upendo; limeni mashamba yaliyoachwa, maana wakati wa kunitafuta mimi Bwana umefika nami nitawanyeshea baraka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo jipandieni yatakayoleta wongofu, mpate kuvuna yenye utu! jilimieni shamba jipya, siku zingaliko bado za kumtafuta Bwana, mpaka aje na kuwafundisha yanyokayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jipandieni katika haki, vuneni kwa fadhili; uchimbueni udongo wa mashamba yenu, kwa maana wakati umewadia wa kumtafuta BWANA, hata atakapokuja na kuwanyeshea haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupande haki kwa faida yenu, nanyi mutavuna wema; mulime mashamba yaliyoachwa, maana wakati wa kutafuta Yawe umefika kusudi awanyeshee haki kama mvua.