Hosea 10:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo watasema: “Hatuna tena mfalme, kwa kuwa hatumchi Mwenyezi-Mungu; lakini, naye mfalme atatufanyia nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha watasema, “Hatuna mfalme kwa sababu hatukumheshimu Mwenyezi Mungu. Lakini hata kama tungekuwa na mfalme, angeweza kutufanyia nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakini sasa watasema, Hatuna mfalme; kwa maana hatumchi Bwana; na mfalme huyu je! Aweza kututendea nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo watasema: “Hatuna tena mfalme, kwa kuwa hatumchi Mwenyezi-Mungu; lakini, naye mfalme atatufanyia nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha watasema, “Hatuna mfalme kwa sababu hatukumheshimu BWANA. Lakini hata kama tungelikuwa na mfalme, angeweza kutufanyia nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha watasema, “Hatuna mfalme kwa sababu hatukumheshimu bwana. Lakini hata kama tungelikuwa na mfalme, angeweza kutufanyia nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakini sasa watasema, Hatuna mfalme; kwa maana hatumchi BWANA; na mfalme huyu je! Aweza kututendea nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo watasema: “Hatuna tena mfalme, kwa kuwa hatumchi Mwenyezi-Mungu; lakini, naye mfalme atatufanyia nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani sasa husema kweli kwamba: Hatuna mfalme! Bwana hatukumcha, naye mfalme atatufanyizia nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakini sasa watasema, Hatuna mfalme; kwa maana hatumchi BWANA; na mfalme huyu je! Aweza kututendea nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati huo watasema: Hatuna tena mufalme, kwa maana hatumwogopi Yawe; lakini, naye mufalme atatufanyia nini?