Hosea 12:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo alikimbia nchi ya Aramu akiwa huko alifanya kazi apate mke, akachunga kondoo ili apate mke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo alikimbilia katika nchi ya Aramu; Israeli alitumika ili apate mke, ili aweze kulipa kwa ajili yake alichunga kondoo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yakobo alikimbia mpaka Padan-Aramu, Na Israeli alitumika apate mke; Ili apate mke alichunga kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo alikimbia nchi ya Aramu akiwa huko alifanya kazi apate mke, akachunga kondoo ili apate mke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo alikimbilia katika nchi ya Aramu; Israeli alitumika ili apate mke, ili aweze kulipa kwa ajili yake alichunga kondoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo alikimbilia katika nchi ya Aramu; Israeli alitumika ili apate mke, ili aweze kulipa kwa ajili yake alichunga kondoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yakobo alikimbia mpaka Padan-Aramu, Na Israeli alitumika apate mke; Ili apate mke alichunga kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo alikimbia nchi ya Aramu akiwa huko alifanya kazi apate mke, akachunga kondoo ili apate mke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa huko Gileadi walifanya yasiyofaa, basi, nao watageuzwa kuwa si kitu; kwa kuwa huko Gilgali walitoa ng'ombe za tambiko, napo pao pa kutambikia patakuwa kama chungu za mawe penye matuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yakobo alikimbia mpaka Padan-Aramu, Na Israeli alitumika apate mke; Ili apate mke alichunga kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Gileadi walikuwa waovu sana; hakuna tena kitu kinachokuwa chao. Kule Gilgali walitambikia ngombe dume. Hivyo, mazabahu zao zitakuwa malundo ya mawe yaliyowekwa kwa mafungu katika shamba.