Hosea 12:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri, na kwa nabii Mungu aliwahifadhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alimtumia nabii kumpandisha Israeli kutoka Misri, kupitia kwa nabii alimtunza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa nabii Bwana alimtoa Israeli katika Misri, Na kwa mkono wa nabii alihifadhiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri. na kwa nabii Mungu aliwahifadhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alimtumia nabii kumpandisha Israeli kutoka Misri, kwa njia ya nabii alimtunza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alimtumia nabii kumpandisha Israeli kutoka Misri, kwa njia ya nabii alimtunza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa nabii BWANA alimtoa Israeli katika Misri, Na kwa mkono wa nabii alihifadhiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri, na kwa nabii Mungu aliwahifadhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakobo alikimbilia mashamba ya Aramu, Isiraeli akatumikia kupata mwanamke, hakuwa na budi kuchunga kondoo na mbuzi, ampate mkewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa nabii BWANA alimtoa Israeli katika Misri, Na kwa mkono wa nabii alihifadhiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo alikimbilia katika inchi ya Aramu. Akiwa huko alifanya kazi kusudi apate mwanamuke, akachunga kondoo kusudi apate mwanamuke.