Hosea 12:15 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Efuraimu amemsikitisha masikitiko yenye uchungu; kwa hiyo zile damu, alizozimwaga, atamtupia, zimkalie, nayo matusi yake ndiyo, Bwana wake atakayomlipisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waefuraimu wamemuchukiza Yawe sana. Lakini Yawe atawalipiza makosa yao, atawaazibu kwa mambo maovu waliyotenda.