Hosea 12:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipambana na malaika, akamshinda; alilia machozi na kuomba ahurumiwe. Huko Betheli, alikutana na Mungu, huko Mungu aliongea naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, Mwenyezi Mungu ndilo jina lake!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, Bwana, Mungu wa majeshi; Bwana ndilo kumbukumbu lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipambana na malaika, akamshinda; alilia machozi na kuomba ahurumiwe. Huko Betheli, alikutana na Mungu, huko Mungu aliongea naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote, BWANA ndilo jina lake!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, bwana ndilo jina lake!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, BWANA, Mungu wa majeshi; BWANA ndilo kumbukumbu lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipambana na malaika, akamshinda; alilia machozi na kuomba ahurumiwe. Huko Betheli, alikutana na Mungu, huko Mungu aliongea naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akashindana na malaika, akamshinda kwa kulia na kumlalamikia; Beteli ndiko, alikomwona, ndiko, alikosema na sisi
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, BWANA, Mungu wa majeshi; BWANA ndilo kumbukumbu lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipigana na malaika, akamushinda; alilia machozi na kuomba ahurumiwe. Kule Beteli, alikutana na Mungu, na kusemezana naye,