Hosea 12:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, Mwenyezi-Mungu, ndilo jina lake. Lakini nyinyi mrudieni Mungu wenu. Zingatieni upendo na haki, mtumainieni Mungu wenu daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, mrudie Mungu wako; shika fadhili na hukumu; ukamngojee Mungu wako daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, Mwenyezi-Mungu, ndilo jina lake. Lakini nyinyi mrudieni Mungu wenu. Zingatieni upendo na haki, mtumainieni Mungu wenu daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, mrudie Mungu wako; shika fadhili na hukumu; ukamngojee Mungu wako daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, Mwenyezi-Mungu, ndilo jina lake. Lakini nyinyi mrudieni Mungu wenu. Zingatieni upendo na haki, mtumainieni Mungu wenu daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yeye Bwana Mungu Mwenye vikosi; Bwana ni Jina lake la kumtukuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, mrudie Mungu wako; shika fadhili na hukumu; ukamngojee Mungu wako daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe wa majeshi, Yawe, ndilo jina lake.