Hosea 13:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nitakuwa kama simba kwenu nyote; nitawavizieni kama chui njiani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba, kama chui nitawavizia kando ya njia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nimekuwa kama simba kwao; kama chui nitavizia njiani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nitakuwa kama simba kwenu nyote; nitawavizieni kama chui njiani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba, kama chui nitawavizia kando ya njia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba, kama chui nitawavizia kando ya njia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nimekuwa kama simba kwao; kama chui nitavizia njiani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nitakuwa kama simba kwenu nyote; nitawavizieni kama chui njiani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipowageukia kuwa kama simba, nikawavizia kama chui njiani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nimekuwa kama simba kwao; kama chui nitavizia njiani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nitakuwa kama simba kwenu ninyi wote; nitawavizia kama chui katika njia.