Hosea 13:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawarukieni kama dubu aliyenyang'anywa watoto wake. Nitawararua vifua vyenu na kuwala papo hapo kama simba; nitawararua vipandevipande kama mnyama wa porini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama dubu aliyenyang’anywa watoto wake, nitawashambulia na kurarua vifua vyenu. Kama simba nitawala; mnyama pori atawararua vipande vipande.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nitakutana nao kama dubu aliyenyang'anywa watoto wake; nami nitararua nyama ya mioyo yao; na huko nitawala kama simba; huyo mnyama mkali atawararua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawarukieni kama dubu aliyenyang'anywa watoto wake. Nitawararua vifua vyenu na kuwala papo hapo kama simba; nitawararua vipandevipande kama mnyama wa porini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama dubu aliyenyang'anywa watoto wake, nitawashambulia na kurarua vifua vyenu. Kama simba nitawala; mnyama pori atawararua vipande vipande.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama dubu aliyenyang’anywa watoto wake, nitawashambulia na kurarua vifua vyenu. Kama simba nitawala; mnyama pori atawararua vipande vipande.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nitawajia kama dubu aliyenyang'anywa watoto wake; nami nitararua nyama ya mioyo yao; na huko nitawala kama simba; huyo mnyama mkali atawararua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawarukieni kama dubu aliyenyang'anywa watoto wake. Nitawararua vifua vyenu na kuwala papo hapo kama simba; nitawararua vipandevipande kama mnyama wa porini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
niwarukie kama nyegere aliyenyang'anywa watoto, niwapasue vifua vifunikavyo mioyo yao, niwale hapo hapo kama simba jike, kisha nyama wa porini wawanyafuenyafue,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nitakutana nao kama dubu aliyenyang’anywa watoto wake; nami nitararua nyama ya mioyo yao; na huko nitawala kama simba; huyo mnyama mkali atawararua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawarukia kama dubu aliyenyanganywa watoto wake. Nitawararua vifua vyenu na kuwakula palepale kama simba; nitawararua vipandevipande kama nyama wa pori.