Hosea 13:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nitawaangamiza, enyi Waisraeli. Nani ataweza kuwasaidia?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ee Israeli, umeangamizwa, kwa sababu wewe u kinyume nami, kinyume na msaidizi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya ndiyo maangamizo yako, Ee Israeli, ya kuwa wewe u kinyume changu mimi, kinyume cha msaada wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nitawaangamiza, enyi Waisraeli. Nani ataweza kuwasaidia?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ee Israeli, Umeharibiwa, kwa sababu wewe u kinyume nami, kinyume na msaidizi wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ee Israeli, umeangamizwa, kwa sababu wewe u kinyume nami, kinyume na msaidizi wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya ndiyo maangamizo yako, Ee Israeli, kwa kuwa wewe u kinyume changu mimi, kinyume cha msaada wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nitawaangamiza, enyi Waisraeli. Nani ataweza kuwasaidia?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo yanayokuangamiza, Isiraeli, ya kuwa unanikataa mimi niliye msaada wako
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya ndiyo maangamizo yako, Ee Israeli, ya kuwa wewe u kinyume changu mimi, kinyume cha msaada wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaangamiza, enyi Waisraeli. Nani ataweza kuwasaidia?