Hosea 2:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, waiteni kaka zenu, “Watu wangu,” na dada zenu, “Waliohurumiwa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie ndugu zako, ‘Watu wangu,’ na pia waambie dada zako, ‘Wapendwa wangu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waambieni ndugu zenu wanaume, Ami
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, waiteni kaka zenu, “Watu wangu,” na dada zenu, “Waliohurumiwa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie ndugu zako, ‘Watu wangu,’ na pia waambie dada zako, ‘Wapendwa wangu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie ndugu zako, ‘Watu wangu,’ na pia waambie dada zako, ‘Wapendwa wangu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waambieni ndugu zenu, Ami na dada zenu, Ruhama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, waiteni kaka zenu, “Watu wangu,” na dada zenu, “Waliohurumiwa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo waiteni ndugu zenu Ukoo wangu na maumbu zenu Huhurumiwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waambieni ndugu zenu wanaume, Ami na ndugu zenu wanawake, Ruhama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hesabu ya Waisraeli itakuwa kubwa kama muchanga wa bahari ambao haupimiki wala hauhesabiki. Pale ambapo Mungu aliwaambia: Ninyi si watu wangu, sasa atawaambia: Ninyi ni watoto wa Mungu Mwenye Uzima.