Hosea 2:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamvua abaki uchi mbele ya wapenzi wake, wala hakuna mtu atakayeweza kunizuia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi sasa nitaufunua ufisadi wake mbele ya wapenzi wake; hakuna yeyote atakayemtoa mikononi mwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa nitaifunua aibu yake mbele ya macho ya wapenzi wake, wala hapana mtu atakayemwokoa katika mkono wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamvua abaki uchi mbele ya wapenzi wake, wala hakuna mtu atakayeweza kunizuia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi sasa nitaufunua ufisadi wake mbele ya wapenzi wake; hakuna ye yote atakayemtoa mikononi mwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi sasa nitaufunua ufisadi wake mbele ya wapenzi wake; hakuna yeyote atakayemtoa mikononi mwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa nitaifunua aibu yake mbele ya macho ya wapenzi wake, wala hapana mtu atakayemwokoa katika mkono wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamvua abaki uchi mbele ya wapenzi wake, wala hakuna mtu atakayeweza kunizuia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nitayafunua yake yenye soni machoni pa wapenzi wake, tena hakuna mtu atakayemponya mkononi mwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa nitaifunua aibu yake mbele ya macho ya wapenzi wake, wala hapana mtu atakayemwokoa katika mkono wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakujua kwamba ni mimi niliyemupa ngano, divai na mafuta, niliyemujalia feza na zahabu kwa wingi, ambazo alimupelekea mungu Bali.