Hosea 2:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitafanya agano na wanyama wa porini, ndege wa angani pamoja na vyote vitambaavyo, wasikuumize. Nitatokomeza upinde, upanga na silaha za vita katika nchi, na kukufanya uishi kwa usalama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ile nitafanya agano kwa ajili yao na wanyama wa kondeni, na ndege wa angani, na viumbe vinavyotambaa ardhini. Upinde, upanga na vita, nitaondolea mbali katika nchi, ili wote waweze kukaa salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitafanya agano na wanyama wa porini, ndege wa angani pamoja na vyote vitambaavyo, wasikuumize. Nitatokomeza upinde, upanga na silaha za vita katika nchi, na kukufanya uishi kwa usalama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ile nitafanya Agano kwa ajili yao na wanyama wa kondeni, na ndege wa angani, na viumbe vile vitambaavyo ardhini. Upinde, upanga na vita, nitaondolea mbali katika nchi, ili kwamba wote waweze kukaa salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ile nitafanya Agano kwa ajili yao na wanyama wa kondeni, na ndege wa angani, na viumbe vile vitambaavyo ardhini. Upinde, upanga na vita, nitaondolea mbali katika nchi, ili kwamba wote waweze kukaa salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitafanya agano na wanyama wa porini, ndege wa angani pamoja na vyote vitambaavyo, wasikuumize. Nitatokomeza upinde, upanga na silaha za vita katika nchi, na kukufanya uishi kwa usalama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo nitawafanyia agano nao nyama wa porini n ndege wa angani na wadudu wa nchini, nitayavunja mata na panga na magombano, yatoke katika nchi hiyo, niwakalishe salama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo, wewe utaniita “Mume wangu”, na sio tena “Bali wangu”. –Ni ujumbe wa Yawe.–