Hosea 2:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, nitakuposa kwa uaminifu, nawe utanijua mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakuposa kwa uaminifu, nawe utamkubali Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakuposa kwa uaminifu; nawe utamjua Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, nitakuposa kwa uaminifu, nawe utanijua mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakuposa kwa uaminifu, nawe utamkubali BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakuposa kwa uaminifu, nawe utamkubali bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakuposa kwa uaminifu; nawe utamjua BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, nitakuposa kwa uaminifu, nawe utanijua mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakuposa, uwe wangu kwa kweli; ndipo, utakapomjua Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakuposa kwa uaminifu; nawe utamjua BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitafanya agano na nyama wa pori, ndege pamoja na vyote vinavyotambaa, kusudi wasikuumize. Nitaondoa upinde, upanga na silaha za vita katika inchi, na kukufanya uishi kwa usalama.