Hosea 2:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitaikubali haja ya mbingu ya kunyesha mvua, mbingu nazo zitaikubali haja ya ardhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika siku ile nitajibu,” asema Mwenyezi Mungu, “nitajibu kwa anga, nazo anga zitajibu kwa nchi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema Bwana; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitaikubali haja ya mbingu ya kunyesha mvua, mbingu nazo zitaikubali haja ya ardhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika siku ile nitajibu,” asema BWANA, “nitajibu kwa anga, nazo anga zitajibu kwa nchi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika siku ile nitajibu,” asema bwana, “nitajibu kwa anga, nazo anga zitajibu kwa nchi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema BWANA; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitaikubali haja ya mbingu ya kunyesha mvua, mbingu nazo zitaikubali haja ya ardhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo ndipo, nitakapoitikia; ndivyo, asemavyo Bwana; nitaziitikia mbingu nazo zitaiitikia nchi hii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema BWANA; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakufanya muke wangu milele; ukuwe wangu kwa sheria na haki, kwa wema na huruma.