Hosea 4:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakula, lakini hawatashiba; watazini, lakini hawatapata watoto, kwa sababu wameniacha mimi Mwenyezi-Mungu, na kufuata miungu mingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Watakula lakini hawatashiba; watajiingiza katika ukahaba lakini hawataongezeka, kwa sababu wamemwacha Mwenyezi Mungu na kujiingiza wenyewe
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watakula, lakini hawatashiba; watafanya zinaa, lakini hawataongezeka; kwa sababu wameacha kumwangalia Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakula, lakini hawatashiba; watazini, lakini hawatapata watoto, kwa sababu wameniacha mimi Mwenyezi-Mungu, na kufuata miungu mingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Watakula lakini hawatashiba; watajiingiza katika ukahaba lakini hawataongezeka, kwa sababu wamemwacha BWANA na kujiingiza wenyewe
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Watakula lakini hawatashiba; watajiingiza katika ukahaba lakini hawataongezeka, kwa sababu wamemwacha bwana na kujiingiza wenyewe
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watakula, lakini hawatashiba; watafanya zinaa, lakini hawataongezeka; kwa sababu wameacha kumwangalia BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakula, lakini hawatashiba; watazini, lakini hawatapata watoto, kwa sababu wameniacha mimi Mwenyezi-Mungu, na kufuata miungu mingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakapokula, hawatashiba; watakapofanya ugoni hawatapata wana, kwa kuwa wameacha kushikana na Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watakula, lakini hawatashiba; watafanya zinaa, lakini hawataongezeka; kwa sababu wameacha kumwangalia BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakula, lakini hawatashiba, watazini, lakini hawatapata watoto, kwa sababu wameniacha mimi Yawe, na kufuata miungu mingine.