Hosea 4:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile genge la walevi, wanajitosa wenyewe katika uzinzi; wanapendelea aibu kuliko heshima yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata wakati wamemaliza vileo vyao wanaendelea na ukahaba wao, watawala wao hupenda sana njia za aibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kileo chao kimegeuka kuwa uchungu; huzini daima; wakuu wake hupenda aibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile genge la walevi, wanajitosa wenyewe katika uzinzi; wanapendelea aibu kuliko heshima yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata wakati wamemaliza vileo vyao wanaendelea na ukahaba wao, watawala wao hupenda sana njia za aibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata wakati wamemaliza vileo vyao wanaendelea na ukahaba wao, watawala wao hupenda sana njia za aibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kileo chao kimegeuka kuwa uchungu; huzini daima; wakuu wake hupenda aibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile genge la walevi, wanajitosa wenyewe katika uzinzi; wanapendelea aibu kuliko heshima yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakiisha kulewa hufuata ugoni, nao watu wake walio washika ngao hupenda sana mambo yenye soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kileo chao kimegeuka kuwa uchungu; huzini daima; wakuu wake hupenda aibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile kundi la walevi, wanajizamisha wenyewe katika uzinzi; wanapendelea mambo ya haya kuliko heshima yao.