Hosea 4:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kimbunga kitawapeperusha, na watayaonea aibu matambiko yao kwa miungu ya uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisulisuli kitawafagilia mbali na dhabihu zao zitawaletea aibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upepo umemfunikiza kwa mbawa zake; nao watatahayarika kwa sababu ya dhabihu zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kimbunga kitawapeperusha, na watayaonea aibu matambiko yao kwa miungu ya uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisulisuli kitawafagilia mbali na dhabihu zao zitawaletea aibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisulisuli kitawafagilia mbali na dhabihu zao zitawaletea aibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upepo umemfunika kwa mbawa zake; nao watatahayarika kwa sababu ya dhabihu zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kimbunga kitawapeperusha, na watayaonea aibu matambiko yao kwa miungu ya uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upepo utawakamata kwa ajili ya matambiko yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upepo umemfunikiza kwa mbawa zake; nao watatahayarika kwa sababu ya dhabihu zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, zoruba itawapeperusha, nao watapata haya kwa ajili ya sadaka zao.