Hosea 4:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe utajikwaa mchana, naye nabii atajikwaa pamoja nawe usiku. Nitamwangamiza mama yako Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unajikwaa usiku na mchana, nao manabii hujikwaa pamoja nawe. Kwa hiyo nitamwangamiza mama yako:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wewe utajikwaa wakati wa mchana, na nabii naye atajikwaa pamoja nawe wakati wa usiku; nami nitamwangamiza mama yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe utajikwaa mchana, naye nabii atajikwaa pamoja nawe usiku. Nitamwangamiza mama yako Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unajikwaa mchana na usiku, nao manabii hujikwaa pamoja nawe. Kwa hiyo nitamwangamiza mama yako:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unajikwaa usiku na mchana, nao manabii hujikwaa pamoja nawe. Kwa hiyo nitamwangamiza mama yako:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wewe utajikwaa wakati wa mchana, na nabii naye atajikwaa pamoja nawe wakati wa usiku; nami nitamwangamiza mama yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe utajikwaa mchana, naye nabii atajikwaa pamoja nawe usiku. Nitamwangamiza mama yako Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo utajikwaa mchana, naye mfumbuaji atajikwaa pamoja na wewe usiku, nami nitamwangamiza mama yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wewe utajikwaa wakati wa mchana, na nabii naye atajikwaa pamoja nawe wakati wa usiku; nami nitamwangamiza mama yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe utajikwaa muchana, naye nabii atajikwaa pamoja nawe usiku. Nitamwangamiza mama yako Israeli.