Hosea 4:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kadiri makuhani walivyoongezeka, ndivyo wote walivyozidi kuniasi. Basi, nitaigeuza fahari yao kuwa aibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kadiri makuhani walivyoongezeka, ndivyo walivyozidi kutenda dhambi dhidi yangu, walibadilisha utukufu wao kwa kitu cha aibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kadiri walivyozidishwa, kwa kadiri iyo hiyo walinitenda dhambi; nami nitageuza utukufu wao kuwa aibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kadiri makuhani walivyoongezeka, ndivyo wote walivyozidi kuniasi. Basi, nitaigeuza fahari yao kuwa aibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kadiri makuhani walivyoongezeka, ndivyo walivyozidi kutenda dhambi dhidi yangu, walibadilisha utukufu wao kwa kitu cha aibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kadiri makuhani walivyoongezeka, ndivyo walivyozidi kutenda dhambi dhidi yangu, walibadilisha utukufu wao kwa kitu cha aibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kadiri walivyozidishwa, kwa kadiri hiyo hiyo walinitenda dhambi; nami nitageuza utukufu wao kuwa aibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kadiri makuhani walivyoongezeka, ndivyo wote walivyozidi kuniasi. Basi, nitaigeuza fahari yao kuwa aibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo, walivyoendelea kuwa wengi, ndivyo, walivyoendelea kunikosea, kwa sababu hii nitaugeuza utukufu wao kuwa mambo yatiayo soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kadiri walivyozidishwa, kwa kadiri iyo hiyo walinitenda dhambi; nami nitageuza utukufu wao kuwa aibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kadiri makuhani walivyoongezeka, ndivyo wote walivyozidi kuniasi. Basi, nitageuza utukufu wao kuwa haya.