Hosea 4:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanajishibisha kwa sadaka za watu wangu wenye dhambi. Wana hamu sana ya kuwaona wametenda dhambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanajilisha dhambi za watu wangu na kupendezwa na uovu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hujilisha dhambi ya watu wangu, hujifurahisha moyo kwa uovu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanajishibisha kwa sadaka za watu wangu wenye dhambi. Wana hamu sana ya kuwaona wametenda dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hujilisha dhambi za watu wangu na kupendezwa na uovu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hujilisha dhambi za watu wangu na kupendezwa na uovu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hujilisha dhambi ya watu wangu, hujifurahisha moyo kwa uovu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanajishibisha kwa sadaka za watu wangu wenye dhambi. Wana hamu sana ya kuwaona wametenda dhambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hujilisha makosa yao walio ukoo wangu, namo rohoni mwao hutamani kukora manza kama wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hujilisha dhambi ya watu wangu, hujifurahisha moyo kwa uovu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanajishibisha kwa sadaka za watu wangu wenye zambi. Wana hamu sana ya kuwaona wakitenda zambi.