Hosea 5:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viongozi wa Yuda wamekuwa wenye kubadili mipaka ya ardhi. Mimi nitawamwagia hasira yangu kama maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa Yuda ni kama wale wanaosogeza mawe ya mpaka. Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao kama mafuriko ya maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu wa Yuda ni kama watu waondoao alama ya mpaka; nitawamwagia ghadhabu yangu kama maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viongozi wa Yuda wamekuwa wenye kubadili mipaka ya ardhi. Mimi nitawamwagia hasira yangu kama maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wa Yuda ni kama wale wanaosogeza mawe ya mpaka. Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao kama mafuriko ya maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wa Yuda ni kama wale wanaosogeza mawe ya mpaka. Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao kama mafuriko ya maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wa Yuda ni kama watu waondoao alama ya mpaka; nitawamwagia ghadhabu yangu kama maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viongozi wa Yuda wamekuwa wenye kubadili mipaka ya ardhi. Mimi nitawamwagia hasira yangu kama maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wa Yuda wanafanana nao wanaosogeza mawe ya mipakani; wao hao nitawamwagia machafuko yangu kama maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu wa Yuda ni kama watu waondoao alama ya mpaka; nitawamwagia ghadhabu yangu kama maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waongozi wa Yuda wamekuwa wenye kubadilisha mipaka ya inchi. Mimi nitawamwangia hasira yangu kama maji.