Hosea 5:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Efraimu ameteswa, haki zake zimetwaliwa; kwani alipania kufuata upuuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Efraimu amedhulumiwa, amekanyagwa katika hukumu kwa kuwa amekusudia kufuatia sanamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Efraimu ameonewa, amesetwa katika hukumu, kwa sababu alikuwa radhi kufuata ubatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Efraimu ameteswa, haki zake zimetwaliwa; kwani alipania kufuata upuuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Efraimu ameonewa, amekanyagwa katika hukumu kwa kuwa amekusudia kufuatia sanamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Efraimu ameonewa, amekanyagwa katika hukumu kwa kuwa amekusudia kufuatia sanamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Efraimu ameonewa, amesetwa katika hukumu, kwa sababu alikuwa radhi kufuata ubatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Efraimu ameteswa, haki zake zimetwaliwa; kwani alipania kufuata upuuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Efuraimu anakorofishwa, amepondwa na hukumu, kwani alikuwa amependezwa kufuata maagizo ya watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Efraimu ameonewa, amesetwa katika hukumu, kwa sababu alikuwa radhi kufuata ubatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Efuraimu ameteswa, haki zake zimetwaliwa; maana alikusudia kufuata mambo isiyokuwa na maana.