Hosea 5:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo mimi Mungu niko kama nondo kwa Efraimu, kama donda baya kwa watu wa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ni kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa watu wa Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo mimi nimekuwa kama nondo kwa Efraimu, nimekuwa kama ubovu kwa nyumba ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo mimi Mungu niko kama nondo kwa Efraimu, kama donda baya kwa watu wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ni kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa watu wa Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ni kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa watu wa Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo mimi nimekuwa kama nondo kwa Efraimu, nimekuwa kama ubovu kwa nyumba ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo mimi Mungu niko kama nondo kwa Efraimu, kama donda baya kwa watu wa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi kwake Efuraimu ni kama mende, nako kwao walio mlango wa Yuda kama ugonjwa wa ubovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo mimi nimekuwa kama nondo kwa Efraimu, nimekuwa kama ubovu kwa nyumba ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo mimi Mungu niko kama nondo kwa Efuraimu, kama kidonda kibaya kwa watu wa Yuda.