Hosea 5:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmechimba shimo refu la kuwanasa huko Shitimu. Lakini mimi nitawaadhibuni nyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waasi wamezidisha sana mauaji. Mimi nitawatiisha wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walioasi wameongeza sana ufisadi wao; lakini mimi ndiye awakaripiaye wote pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmechimba shimo refu la kuwanasa huko Shitimu. Lakini mimi nitawaadhibuni nyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waasi wamezidisha sana mauaji. Mimi nitawatiisha wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waasi wamezidisha sana mauaji. Mimi nitawatiisha wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walioasi wameongeza sana ufisadi wao; lakini mimi ndiye awakaripiaye wote pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmechimba shimo refu la kuwanasa huko Shitimu. Lakini mimi nitawaadhibuni nyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakachimba mwina mrefu Setimu, lakini mimi nitawachapa wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walioasi wameongeza sana ufisadi wao; lakini mimi ndiye awakaripiaye wote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumechimba shimo refu la kuwanasa kule Sitimu. Lakini mimi nitawaazibu ninyi wote.