Hosea 5:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Matendo yao yanawazuia wasimrudie Mungu wao. Mioyoni mwao wamejaa uzinzi; hawanijui mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Matendo yao hayawaachii kurudi kwa Mungu wao. Roho ya ukahaba iko ndani ya mioyo yao, hawamkubali Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matendo yao hayatawaacha kumgeukia Mungu wao; maana roho ya uzinzi imo ndani yao, wala hawamjui Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Matendo yao yanawazuia wasimrudie Mungu wao. Mioyoni mwao wamejaa uzinzi; hawanijui mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Matendo yao hayawaachii kurudi kwa Mungu wao. Roho ya ukahaba imo ndani ya mioyo yao, hawamkubali BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Matendo yao hayawaachii kurudi kwa Mungu wao. Roho ya ukahaba imo ndani ya mioyo yao, hawamkubali bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matendo yao hayatawaacha kumgeukia Mungu wao; maana roho ya uzinzi imo ndani yao, wala hawamjui BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Matendo yao yanawazuia wasimrudie Mungu wao. Mioyoni mwao wamejaa uzinzi; hawanijui mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matendo yao yanawazuia kurudi kwa Mungu wao, kwani roho ya ugoni imo mioyoni mwao, lakini Bwana hawamjui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matendo yao hayatawaacha kumgeukia Mungu wao; maana roho ya uzinzi imo ndani yao, wala hawamjui BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo yao yanawazuia wasimurudilie Mungu wao. Wamejaa uzinzi ndani ya mioyo yao; hawanijui mimi Yawe.