Hosea 5:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng'ombe, kumtafuta Mwenyezi-Mungu; lakini hawataweza kumpata, kwa sababu amejitenga nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanapoenda na makundi yao ya kondoo na ng’ombe kumtafuta Mwenyezi Mungu, hawatampata; yeye amejiondoa kutoka kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng'ombe wamtafute Bwana; lakini hawatamwona; amejitenga nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng'ombe, kumtafuta Mwenyezi-Mungu; lakini hawataweza kumpata, kwa sababu amejitenga nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wanapokwenda na makundi yao ya kondoo na ng'ombe kumtafuta BWANA, hawatampata; yeye amejiondoa kutoka kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wanapokwenda na makundi yao ya kondoo na ng’ombe kumtafuta bwana, hawatampata; yeye amejiondoa kutoka kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng'ombe wamtafute BWANA; lakini hawatamwona; amejitenga nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng'ombe, kumtafuta Mwenyezi-Mungu; lakini hawataweza kumpata, kwa sababu amejitenga nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huchukua kondoo na ng'ombe kwenda kumtafuta Bwana, lakini hawamwoni, amekwisha kutengana nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng’ombe wamtafute BWANA; lakini hawatamwona; amejitenga nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ngombe, kumutafuta Yawe; lakini hawataweza kumupata, kwa sababu amejitenga nao.