Hosea 5:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Pigeni baragumu huko Gibea, na tarumbeta huko Rama. Pigeni king'ora huko Beth-aveni. Enyi watu wa Benyamini, adui yenu yuko nyuma!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Pigeni tarumbeta huko Gibea, na baragumu huko Rama. Pazeni kelele za vita huko Beth-Aveni; ongoza, ee Benyamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pigeni tarumbeta katika Gibea, na baragumu katika Rama; pazeni sauti ya hofu katika Beth-Aveni; nyuma yako, Ee Benyamini!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Pigeni baragumu huko Gibea, na tarumbeta huko Rama. Pigeni king'ora huko Beth-aveni. Enyi watu wa Benyamini, adui yenu yuko nyuma!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Pigeni tarumbeta huko Gibea, baragumu huko Rama. Paza kilio cha vita huko Beth-Aveni, ongoza, Ee Benyamini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Pigeni tarumbeta huko Gibea, baragumu huko Rama. Paza kilio cha vita huko Beth-Aveni, ongoza, ee Benyamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pigeni tarumbeta katika Gibea, na baragumu katika Rama; pazeni sauti ya hofu katika Beth-aveni; nyuma yako, Ee Benyamini!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Pigeni baragumu huko Gibea, na tarumbeta huko Rama. Pigeni king'ora huko Beth-aveni. Enyi watu wa Benyamini, adui yenu yuko nyuma!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pigeni mabaragumu huko Gibea! Pigeni matarumbeta huko Rama! Pigeni yowe Beti-Aweni: Ni nyuma yako, Benyamini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pigeni tarumbeta katika Gibea, na baragumu katika Rama; pazeni sauti ya hofu katika Beth-Aveni; nyuma yako, Ee Benyamini!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupige baragumu kule Gibea, na ngunga kule Rama. Mupige kelele la kujulisha hatari kule Beti-Aweni. Enyi watu wa Benjamina, adui yenu yuko nyuma!