Hosea 5:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku nitakapotoa adhabu Efraimu itakuwa kama jangwa! Ninachotangaza miongoni mwa makabila ya Israeli, ni jambo litakalotukia kwa hakika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Efraimu ataachwa ukiwa katika siku ya kuadhibiwa. Miongoni mwa makabila ya Israeli ninatangaza lile ambalo halina budi kutukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Efraimu atakuwa ukiwa siku ya kukemewa; katika kabila za Israeli nimetangaza habari itakayotokea halafu bila shaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku nitakapotoa adhabu Efraimu itakuwa kama jangwa! Ninachotangaza miongoni mwa makabila ya Israeli, ni jambo litakalotukia kwa hakika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Efraimu ataachwa ukiwa katika siku ya kuadhibiwa. Miongoni mwa makabila ya Israeli ninatangaza lile ambalo halina budi kutukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Efraimu ataachwa ukiwa katika siku ya kuadhibiwa. Miongoni mwa makabila ya Israeli ninatangaza lile ambalo halina budi kutukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Efraimu atakuwa ukiwa siku ya adhabu; katika makabila ya Israeli nimetangaza jambo litakalotukia kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku nitakapotoa adhabu Efraimu itakuwa kama jangwa! Ninachotangaza miongoni mwa makabila ya Israeli, ni jambo litakalotukia kwa hakika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku, Efuraimu atakapochapwa, atageuzwa kuwa mapori yaliyo peke yao; niliyoyajulisha mashina ya Isiraeli yatatimia kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Efraimu atakuwa ukiwa siku ya kukemewa; katika kabila za Israeli nimetangaza habari itakayotokea halafu bila shaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku nitakapotoa azabu, Efuraimu itakuwa kama jangwa! Ninachotangaza kati ya makabila ya Israeli, ni jambo litakalotukia kwa hakika.