Hosea 6:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimeona jambo la kuchukiza sana miongoni mwa Waisraeli: Watu wa Efraimu wanakimbilia miungu mingine naam, Waisraeli wamejitia unajisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeona jambo la kutisha katika nyumba ya Israeli. Huko Efraimu amejitolea kwa ukahaba na Israeli amenajisika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika nyumba ya Israeli nimeona jambo bovu kabisa; huko uzinzi umeonekana katika Efraimu; Israeli ametiwa unajisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimeona jambo la kuchukiza sana miongoni mwa Waisraeli: watu wa Efraimu wanakimbilia miungu mingine naam, Waisraeli wamejitia unajisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeona jambo la kutisha katika nyumba ya Israeli. Huko Efraimu amejitolea kwa ukahaba na Israeli amenajisika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeona jambo la kutisha katika nyumba ya Israeli. Huko Efraimu amejitolea kwa ukahaba na Israeli amenajisika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika nyumba ya Israeli nimeona jambo bovu kabisa; huko uzinzi umeonekana katika Efraimu; Israeli ametiwa unajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimeona jambo la kuchukiza sana miongoni mwa Waisraeli: Watu wa Efraimu wanakimbilia miungu mingine naam, Waisraeli wamejitia unajisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao walio mlango wa Isiraeli nimeona mambo yazizimuayo; ndiko, Efuraimu anakofanya ugoni, Isiraeli naye hujichafua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika nyumba ya Israeli nimeona jambo bovu kabisa; huko uzinzi umeonekana katika Efraimu; Israeli ametiwa unajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimeona jambo la kuchukiza sana kati ya Waisraeli: watu wa Efuraimu wanakimbilia miungu mingine, Waisraeli wamejichafua.