Hosea 7:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiburi cha Waisraeli chashuhudia dhidi yao, hawanirudii mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa matukio hayo yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, lakini pamoja na haya yote harudi kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wake, wala kumtafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kiburi cha Israeli chamshuhudia mbele ya uso wake; ila hata hivyo hawakumrudia Bwana, Mungu wao, wala hawakumtafuta kwa ajili ya hayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiburi cha Waisraeli chashuhudia dhidi yao, hawanirudii mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa matukio hayo yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, lakini pamoja na haya yote harudi kwa BWANA Mungu wake wala kumtafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, lakini pamoja na haya yote harudi kwa bwana Mwenyezi Mungu wake wala kumtafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kiburi cha Israeli chamshuhudia mbele ya uso wake; ila hata hivyo hawakumrudia BWANA, Mungu wao, wala hawakumtafuta kwa ajili ya hayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiburi cha Waisraeli chashuhudia dhidi yao, hawanirudii mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa matukio hayo yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Majivuno yao Waisiraeli yanawasuta machoni pao, lakini hawarudi kwake Bwana Mungu wao, wala hawamtafuti katika mambo hayo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kiburi cha Israeli chamshuhudia mbele ya uso wake; ila hata hivyo hawakumrudia BWANA, Mungu wao, wala hawakumtafuta kwa ajili ya hayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiburi cha Waisraeli kinawashuhudia wao wenyewe, hawanirudilii mimi Yawe, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa ajili ya matukio hayo yote.