Hosea 8:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Pigeni baragumu! Adui anakuja kama tai kuivamia nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wamelivunja agano langu na kuiasi sheria yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wekeni tarumbeta midomoni mwenu! Tai yuko juu ya nyumba ya Mwenyezi Mungu kwa sababu watu wamevunja agano langu, wameasi dhidi ya sheria yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tia baragumu kinywani mwako. Kama tai, anakuja juu ya nyumba ya Bwana; kwa sababu wamelihalifu agano langu, wameiasi sheria yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Pigeni baragumu! Adui anakuja kama tai kuivamia nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wamelivunja agano langu na kuiasi sheria yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wekeni tarumbeta midomoni mwenu! Tai yuko juu ya nyumba ya BWANA kwa sababu watu wamevunja Agano langu, wameasi dhidi ya sheria yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wekeni tarumbeta midomoni mwenu! Tai yuko juu ya nyumba ya bwana kwa sababu watu wamevunja Agano langu, wameasi dhidi ya sheria yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tia baragumu kinywani mwako. Kama tai, anakuja juu ya nyumba ya BWANA; kwa sababu wamelivunja agano langu, wameiasi sheria yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Pigeni baragumu! Adui anakuja kama tai kuivamia nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wamelivunja agano langu na kuiasi sheria yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Weka baragumu midomoni pako kwamba: Yuko atakayeijia Nyumba ya Bwana kama tai! Wamelivunja Agano langu, wakayakosea Maonyo yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tia baragumu kinywani mwako. Kama tai, anakuja juu ya nyumba ya BWANA; kwa sababu wamelihalifu agano langu, wameiasi sheria yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupige baragumu! Adui anakuja kama tai kuishambulia nyumba ya Yawe, kwa sababu wamelivunja agano langu na kuiasi sheria yangu.