Hosea 8:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Israeli amepuuza mambo mema, kwa hiyo, sasa adui watamfuatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Israeli amekataa lile lililo jema, adui atamfuatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Israeli ameyatupa yaliyo mema; adui watamfuatia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Israeli amepuuza mambo mema, kwa hiyo, sasa adui watamfuatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Israeli amekataa lile lililo jema, adui atamfuatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Israeli amekataa lile lililo jema, adui atamfuatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Israeli ameyatupa yaliyo mema; adui watamfuatia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Israeli amepuuza mambo mema, kwa hiyo, sasa adui watamfuatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Isiraeli ameyatupa yaliyo mema, kwa hiyo adui atamkimbiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Israeli ameyatupa yaliyo mema; adui watamfuatia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Waisraeli wametupilia mambo mazuri. Kwa hiyo, sasa waadui watawafuatilia.