Hosea 9:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fahari ya Efraimu itatoweka kama ndege; watoto hawatazaliwa tena, hakutakuwa na watoto wa kuzaliwa, wala hakutakuwa na kuchukuliwa mimba!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: hakuna kuzaa, hakuna kubeba mimba, hakuna kuchukua mimba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Efraimu, utukufu wake utarukia mbali kama ndege, uzazi hautakuwako, wala aliye na mimba, wala achukuaye mimba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fahari ya Efraimu itatoweka kama ndege; watoto hawatazaliwa tena, hakutakuwa na watoto wa kuzaliwa, wala hakutakuwa na kuchukuliwa mimba!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: hakuna kuzaa, hakuna kuchukua mimba, hakuna kutunga mimba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: hakuna kuzaa, hakuna kuchukua mimba, hakuna kutunga mimba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Efraimu, utukufu wake utarukia mbali kama ndege, uzazi hautakuwako, wala aliye na mimba, wala achukuaye mimba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fahari ya Efraimu itatoweka kama ndege; watoto hawatazaliwa tena, hakutakuwa na watoto wa kuzaliwa, wala hakutakuwa na kuchukuliwa mimba!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukufu wao wa Efuraimu utatoweka kwa kuruka kama ndege, kwa kuwa hapatakuwako atakayezaa wala mwenye mimba wala atakayepata mimba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Efraimu, utukufu wake utarukia mbali kama ndege, uzazi hautakuwako, wala aliye na mimba, wala achukuaye mimba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu wa Efuraimu utatoweka kama ndege; watoto hawatazaliwa tena, hakutakuwa watoto wa kuzaliwa, wala hakutakuwa atakayepata mimba!