Hosea 9:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata kama wakilea watoto, sitamwacha hai hata mmoja wao. Ole wao, nitakapowaacha peke yao!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata wakilea watoto, nitamuua kila mmoja. Ole wao nitakapowapiga kisogo!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wajapolea watoto wao, mimi nitawanyang'anya watoto wao, asisalie hata mtu mmoja; naam, ole wao! Nitakapoondoka na kuwaacha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata kama wakilea watoto, sitamwacha hai hata mmoja wao. Ole wao, nitakapowaacha peke yao!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata wakilea watoto, nitamwua kila mmoja. Ole wao nitakapowapiga kisogo!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata wakilea watoto, nitamuua kila mmoja. Ole wao nitakapowapiga kisogo!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wajapolea watoto wao, mimi nitawanyang'anya watoto wao, asisalie hata mtu mmoja; naam, ole wao! Nitakapoondoka na kuwaacha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata kama wakilea watoto, sitamwacha hai hata mmoja wao. Ole wao, nitakapowaacha peke yao!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo wawakuze wana wao, na niwanyang'anye hao wana wao, asisalie hata mtu mmoja atakayekuwapo. Nao wenyewe wataona mambo, nitakapoondoka kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wajapolea watoto wao, mimi nitawanyang’anya watoto wao, asisalie hata mtu mmoja; naam, ole wao! Nitakapoondoka na kuwaacha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata kama wakilea watoto, sitamwacha hata mumoja wao muzima. Ole kwao, nitakapowaacha peke yao!