Hosea 9:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwaadhibu watu hawa ee Mwenyezi-Mungu! Lakini utawaadhibu namna gani? Uwafanye wanawake wao kuwa tasa; uwafanye wakose maziwa ya kunyonyesha watoto wao!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wape, Ee Mwenyezi Mungu, je, utawapa nini? Wape tumbo zinazoharibu mimba na matiti yaliyokauka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wape, Ee Bwana; utawapa kitu gani? Wape tumbo lenye kuharibu mimba na maziwa makavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwaadhibu watu hawa ee Mwenyezi-Mungu! Lakini utawaadhibu namna gani? Uwafanye wanawake wao kuwa tasa; uwafanye wakose maziwa ya kunyonyesha watoto wao!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wape, Ee BWANA, je, utawapa nini? Wape matumbo ya kuharibu mimba na matiti yaliyokauka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wape, Ee bwana, je, utawapa nini? Wape matumbo ya kuharibu mimba na matiti yaliyokauka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wape, Ee BWANA; utawapa kitu gani? Wape tumbo lenye kuharibu mimba na maziwa makavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwaadhibu watu hawa ee Mwenyezi-Mungu! Lakini utawaadhibu namna gani? Uwafanye wanawake wao kuwa tasa; uwafanye wakose maziwa ya kunyonyesha watoto wao!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikisema: Bwana, wape! utawapa nini? Wape matumbo yasiyozaa na maziwa yaliyokauka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wape, Ee BWANA; utawapa kitu gani? Wape tumbo lenye kuharibu mimba na maziwa makavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaazibu watu hawa, ee Yawe! Lakini utawaazibu namna gani? Uwafanye wanawake wao kuwa tasa; uwafanye wakose maziwa ya kunyonyesha watoto wao!